Latest Updates

KIJANA AKAMATWA NA POLISI KWA UTAPELI, AJIFANYA YEYE NI RUGE MUTAHABA WA REDIO CLOUDS








Huyu kijana amekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao zichezwe redioni