Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado wanaendelea kufika nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba kwa ajili ya kutoa salaam za rambi rambi.
Kutoka nyumbani kwa Marehemu Kapteni John Komba March 01.

Posted