Latest Updates

Hii ndio Miji 10 ya hatari zaidi duniani, Afrika iko miji 4 nayo ni…? <<< (PICHAZ)






Vitendo vya Ugaidi ni miongoni mwa stori zinazoshika na kuweka headlines kubwa sana duniani, na kwa sehemu nyingi za dunia vitendo hivi sio vya mchezo kabisa.

Kutokana na ukuaji mkubwa wa vitendo ya Ugaidi duniani, makosa kama uwizi kwa kutumia mitandao, uhalifu wa IT na migogoro baina ya mipaka ya nchi ni vitu vikubwa sana, unaweza kusema hakuna nchi iliyo salama kabisa.



Nimekutana na orodha moja iliyo orodhesha Miji 10 ya hatari duniani, Miji 4 ya Afrika imetajwa, ungependa kuijuwa? Nimekusogezea picha zake hapa chini.